-
Marko 16:9Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
9 Baada ya kufufuka mapema siku ya kwanza ya juma akamtokea kwanza Maria Magdalene, ambaye alikuwa amefukuza roho waovu saba kutoka kwake.
-