-
Luka 11:26Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
26 Kisha huenda na kuwaleta roho wengine saba walio waovu kuliko yeye, na baada ya kuingia ndani, wao hukaa humo. Basi hali ya mwisho ya mtu huyo huwa mbaya zaidi kuliko ya kwanza.”
-
-
Luka 11:26Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
26 Ndipo huyo hushika njia yake kwenda na kuchukua roho saba tofauti walio waovu zaidi yake mwenyewe waambatane naye, na, baada ya kuingia ndani, wao hukaa humo; na hali za mwisho za mtu huyo huwa mbaya zaidi kuliko zile za kwanza.”
-