-
Luka 11:26Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
26 Ndipo huyo hushika njia yake kwenda na kuchukua roho saba tofauti walio waovu zaidi yake mwenyewe waambatane naye, na, baada ya kuingia ndani, wao hukaa humo; na hali za mwisho za mtu huyo huwa mbaya zaidi kuliko zile za kwanza.”
-