55 Ndipo Yesu akauambia umati: “Je, mmetoka mkiwa na mapanga na marungu kana kwamba ni kwenda juu ya mnyang’anyi ili kunikamata?+ Siku baada ya siku nilikuwa nikiketi katika hekalu+ nikifundisha, na bado hamkunikamata.
47 Zaidi ya hayo, akawa akifundisha kila siku katika hekalu. Lakini wakuu wa makuhani na waandishi na wakuu kati ya watu walikuwa wakitafuta kumwangamiza;+