Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Mathayo 27:29
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 29 nao wakasokota taji kutokana na miiba na kuliweka juu ya kichwa chake na utete katika mkono wake wa kuume. Nao wakapiga magoti mbele yake, wakamfanyia dhihaka,+ wakisema: “Siku njema, ewe Mfalme wa Wayahudi!”+

  • Marko 15:17
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 17 nao wakampamba kwa vazi la zambarau na kusokota taji la miiba, wakaliweka juu yake.+

  • Luka 23:11
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 11 Ndipo Herode pamoja na askari-jeshi wake walinzi wakamfedhehesha,+ naye akamdhihaki+ kwa kumvika vazi jangavu na kumrudisha kwa Pilato.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki