-
Mathayo 27:29Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
29 nao wakasuka taji kutokana na miiba na kuliweka juu ya kichwa chake na tete katika mkono wake wa kuume. Na, wakipiga magoti mbele yake, wakamfanyia ucheshi, wakisema: “Siku njema, wewe Mfalme wa Wayahudi!”
-