29 kisha wakasokota taji la miiba na kumvisha kichwani na kutia utete kwenye mkono wake wa kuume. Wakampigia magoti, wakamdhihaki wakisema: “Salamu,* ewe Mfalme wa Wayahudi!”
29 nao wakasokota taji kutokana na miiba na kuliweka juu ya kichwa chake na utete katika mkono wake wa kuume. Nao wakapiga magoti mbele yake, wakamfanyia dhihaka,+ wakisema: “Siku njema, ewe Mfalme wa Wayahudi!”+