-
Yohana 1:48Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
48 Nathanaeli akamwambia: “Umepataje kunijua?” Yesu akajibu, akamwambia: “Kabla ya Filipo kukuita, ulipokuwa chini ya mtini, nilikuona.”
-