13 Aliposikia hilo Yesu akaondoka hapo kwa mashua kwenda mahali pasipo na watu ili awe peke yake;+ lakini umati, uliposikia hilo, ukamfuata kwa miguu kutoka katika majiji.
10 Na mitume waliporudi wakamsimulia mambo waliyokuwa wameyafanya.+ Ndipo akawachukua waambatane naye, nao wakaondoka kwenda faraghani+ na kuingia katika jiji linaloitwa Bethsaida.