12 Ndipo mchana ukaanza kushuka. Wale kumi na wawili sasa wakaja na kumwambia: “Waambie umati waondoke, waende vijijini na upande wa mashambani wenye kuzunguka na kujipatia makao na wapate chakula, kwa sababu huku nje sisi tuko katika mahali pasipo na watu.”+