-
Luka 9:12Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
12 Ndipo mchana ukaanza kushuka. Wale kumi na wawili sasa wakaja na kumwambia: “Ambia umati uende, ili upate kuingia katika vijiji na upande wa mashambani wenye kuzunguka na kujipatia makao na upate chakula, kwa sababu huku nje sisi tuko katika mahali pa upweke.”
-