Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Luka 9:12
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 12 Ndipo mchana ukaanza kushuka. Wale kumi na wawili sasa wakaja na kumwambia: “Waambie umati waondoke, waende vijijini na upande wa mashambani wenye kuzunguka na kujipatia makao na wapate chakula, kwa sababu huku nje sisi tuko katika mahali pasipo na watu.”+

  • Luka 9:12
    Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
    • 12 Ndipo mchana ukaanza kushuka. Wale kumi na wawili sasa wakaja na kumwambia: “Ambia umati uende, ili upate kuingia katika vijiji na upande wa mashambani wenye kuzunguka na kujipatia makao na upate chakula, kwa sababu huku nje sisi tuko katika mahali pa upweke.”

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki