Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Matendo 16:37
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 37 Lakini Paulo akawaambia: “Walitupiga viboko hadharani bila kuhukumiwa kuwa wenye hatia, sisi tulio Waroma,+ na kututupa gerezani; na je, sasa wanatufukuza kwa siri? Hapana, hata kidogo! lakini acha wao wenyewe waje watutoe nje.”

  • Matendo 22:25
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 25 Lakini walipokuwa wamemnyoosha ili apigwe mijeledi, Paulo akamwambia ofisa-jeshi aliyekuwa amesimama hapo: “Je, ni halali kwa ninyi watu kumpiga mijeledi mtu ambaye ni Mroma+ na ambaye hajahukumiwa kuwa mwenye hatia?”

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki