-
Matendo 22:25Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
25 Lakini walipokuwa wamemnyoosha ili apigwe mijeledi, Paulo akamwambia ofisa-jeshi aliyesimama hapo: “Je, yaruhusika kisheria kwa nyinyi watu kupiga mijeledi mtu ambaye ni Mroma na ambaye hajahukumiwa kuwa mwenye hatia?”
-