Matendo 22:30 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 30 Kwa hiyo, siku iliyofuata, kwa kuwa alitaka kujua kwa hakika ni kwa nini hasa alikuwa akishtakiwa na Wayahudi, akamfungua na kuwaamuru wakuu wa makuhani na Sanhedrini yote wakusanyike. Naye akamleta Paulo chini na kumsimamisha katikati yao.+
30 Kwa hiyo, siku iliyofuata, kwa kuwa alitaka kujua kwa hakika ni kwa nini hasa alikuwa akishtakiwa na Wayahudi, akamfungua na kuwaamuru wakuu wa makuhani na Sanhedrini yote wakusanyike. Naye akamleta Paulo chini na kumsimamisha katikati yao.+