Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Matendo 24:12
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 12 nao hawakuniona katika hekalu+ nikibishana na mtu yeyote wala nikifanya kikundi chenye ghasia+ kikimbie pamoja, ama katika masinagogi ama kotekote katika jiji.

  • Matendo 28:17
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 17 Hata hivyo, siku tatu baadaye akawaita pamoja wale waliokuwa wakuu wa Wayahudi. Walipokuwa wamekusanyika, akaanza kuwaambia: “Wanaume, akina ndugu, ijapokuwa sikuwa nimefanya jambo lolote kinyume cha watu au desturi za mababu zetu,+ nilitolewa nikiwa mfungwa Yerusalemu na kutiwa mikononi mwa Waroma.+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki