Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Mathayo 9:21
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 21 kwa maana alikuwa akisema moyoni mwake: “Nikigusa tu vazi lake la nje nitapona.”+

  • Mathayo 14:36
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 36 Nao wakaanza kumsihi ili wapate kuugusa tu upindo wa vazi lake la nje;+ na wale wote waliougusa wakapona kabisa.

  • Marko 6:56
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 56 Na kokote alikokuwa akiingia vijijini au majijini au mashambani+ walikuwa wakiweka wale wagonjwa sokoni, nao walikuwa wakiomba ili wapate kuugusa+ tu upindo+ wa vazi lake la nje. Na wote waliougusa wakapona.+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki