9 Kwa hiyo mwanamke huyo Msamaria akamwambia: “Wewe, ujapokuwa Myahudi, unawezaje kuniomba maji ya kunywa, na mimi ni mwanamke Msamaria?” (Kwa maana Wayahudi hawana shughuli na Wasamaria.)+
28 Basi wakampeleka Yesu kutoka kwa Kayafa mpaka kwenye jumba la gavana.+ Sasa ilikuwa asubuhi. Lakini wao wenyewe hawakuingia ndani ya jumba la gavana, ili wasipate kutiwa unajisi+ bali wapate kula pasaka.