-
Yohana 18:28Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
28 Basi wakamwongoza Yesu kutoka kwa Kayafa hadi kwenye ikulu ya gavana. Sasa ilikuwa ni mapema katika siku. Lakini wao wenyewe hawakuingia ndani ya ikulu ya gavana, ili wasipate kutiwa unajisi bali wapate kula sikukuu ya kupitwa.
-