-
Wakolosai 4:11Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
11 na Yesu anayeitwa Yusto, hawa wakiwa ni kati ya wale waliotahiriwa. Ni hawa tu walio wafanyakazi wenzangu kwa ajili ya ufalme wa Mungu, na hawa ndio wamekuwa msaada wenye kunitia nguvu.
-