39 Ndipo Petro akaondoka na kwenda pamoja nao. Naye alipofika, wakampeleka katika chumba cha juu; na wajane wote wakajitokeza kwake wakilia na kuonyesha mavazi mengi ya ndani na mavazi ya nje+ ambayo Dorkasi alikuwa akitengeneza alipokuwa pamoja nao.+