1 Wakorintho 9:7 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 7 Ni nani ambaye hutumika akiwa askari kwa gharama yake mwenyewe? Ni nani ambaye hupanda shamba la mizabibu na asile matunda yake?+ Au ni nani ambaye huchunga kundi na asinywe sehemu ya maziwa ya kundi?+
7 Ni nani ambaye hutumika akiwa askari kwa gharama yake mwenyewe? Ni nani ambaye hupanda shamba la mizabibu na asile matunda yake?+ Au ni nani ambaye huchunga kundi na asinywe sehemu ya maziwa ya kundi?+