- 
	                        
            
            Kutoka 1:16Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
 - 
                            
- 
                                        
16 ndiyo, hata akawaambia: “Mnapowasaidia wanawake Waebrania kuzaa nanyi mpate kuwaona kwenye kiti cha kuzalia, ikiwa ni mtoto wa kiume, muueni; lakini ikiwa ni binti, basi na aishi.”
 
 -