-
Zekaria 4:12Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
12 Kisha nikamjibu, nikamwambia mara ya pili: “Yale mafungu mawili ya matawi ya mizeituni ambayo, kwa njia ya mifereji miwili ya dhahabu, yanamimina umajimaji wa dhahabu kutoka ndani yake ni nini?”
-