Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Mwanzo 41:15, 16
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 15 Kisha Farao akamwambia Yosefu: “Niliota ndoto, lakini hakuna yeyote anayeweza kunieleza maana yake. Sasa nimesikia habari zako kwamba ukisimuliwa ndoto unaweza kueleza maana yake.”+ 16 Ndipo Yosefu akamjibu Farao: “Sistahili kusifiwa! Mungu ndiye atakayesema kuhusu hali yako, Ee Farao.”+

  • Danieli 2:28
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 28 Lakini kuna Mungu mbinguni ambaye ni Mfunuaji wa siri,+ naye amekujulisha wewe Mfalme Nebukadneza mambo yatakayotukia katika kipindi cha mwisho cha zile siku. Hii ndiyo ndoto yako, na haya ndiyo maono yaliyokujia kichwani ulipokuwa umelala kitandani:

  • Danieli 2:45
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 45 kama tu ulivyoona kwamba jiwe ambalo halikukatwa kwa mikono lilitoka kwenye mlima, na kwamba lilipondaponda kile chuma, ile shaba, ule udongo wa mfinyanzi, ile fedha, na ile dhahabu.+ Mungu Mtukufu amemjulisha mfalme mambo yatakayotukia wakati ujao.+ Ndoto hiyo ni ya kweli, na maana yake inategemeka.”

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki