-
Mwanzo 47:19Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
19 Kwa nini tufe ukituangalia, sisi na ardhi yetu? Tununue sisi pamoja na ardhi yetu tupate chakula, nasi pamoja na ardhi yetu tutakuwa watumwa wa Farao. Tupe mbegu ili tuendelee kuishi, tusife, na ardhi yetu isibaki ukiwa.”
-