-
Mwanzo 37:18Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
18 Sasa wakamwona akiwa mbali, na kabla hajafika karibu, wakaanza kupanga njama ya kumuua.
-
-
Mwanzo 50:17Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
17 ‘Hivi ndivyo mtakavyomwambia Yosefu: “Nakusihi, tafadhali, wasamehe ndugu zako uovu wao na dhambi waliyokutendea ili kukudhuru.”’ Sasa, tafadhali, wasamehe watumishi wa Mungu wa baba yako uovu wao.” Na Yosefu akalia walipomwambia hivyo.
-