Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Mwanzo 37:34, 35
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 34 Ndipo Yakobo akayararua mavazi yake na kuvaa nguo za magunia kiunoni na kumwombolezea mwanawe kwa siku nyingi. 35 Na wanawe wote na mabinti zake wote wakajaribu sana kumfariji, lakini alikataa kabisa kufarijiwa, akisema: “Nitashuka Kaburini*+ nikimwombolezea mwanangu!” Na baba yake akaendelea kumlilia.

  • Mwanzo 42:36
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 36 Yakobo baba yao akashtuka na kusema: “Mmefanya nifiwe!+ Yosefu hayupo,+ Simeoni naye hayupo,+ na sasa mnataka kumchukua Benjamini! Mambo hayo yote yamenijia mimi!”

  • Mwanzo 46:30
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 30 Kisha Israeli akamwambia Yosefu: “Sasa niko tayari kufa; nimeona uso wako na kujua kwamba ungali hai.”

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki