Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Mwanzo 43:8, 9
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 8 Kisha Yuda akamsihi Israeli baba yake: “Niruhusu niende na mvulana huyu,+ acha twende zetu ili tuishi tusije tukafa+—wewe na sisi na watoto wetu.+ 9 Nitakuwa dhamana kwa ajili ya ulinzi wake.*+ Nitawajibika kwako. Nisipomrudisha na kukukabidhi, nitakuwa nimekutendea dhambi ya kudumu.

  • Mwanzo 46:28
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 28 Yakobo alimtuma Yuda+ atangulie na kumwambia Yosefu kwamba alikuwa njiani kwenda Gosheni. Walipofika katika nchi ya Gosheni,+

  • 1 Mambo ya Nyakati 5:2
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 2 Ingawa Yuda+ alikuwa mkuu kuliko ndugu zake na kiongozi alitoka kwake,+ haki ya mzaliwa wa kwanza ilikuwa ya Yosefu.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki