Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Mwanzo 23:2
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 2 Basi Sara akafa huko Kiriath-arba,+ yaani, Hebroni,+ katika nchi ya Kanaani,+ naye Abrahamu akaanza kumwombolezea Sara na kumlilia.

  • Mwanzo 23:19
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 19 Baada ya hayo Abrahamu akamzika Sara mke wake katika pango la shamba la Makpela mbele ya Mamre, yaani, Hebroni, katika nchi ya Kanaani.

  • Mwanzo 25:9, 10
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 9 Isaka na Ishmaeli wanawe wakamzika katika pango la Makpela kwenye shamba la Efroni mwana wa Zohari Mhiti, lililo mbele ya Mamre,+ 10 shamba ambalo Abrahamu alinunua kutoka kwa wana wa Hethi. Abrahamu alizikwa huko pamoja na Sara mke wake.+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki