Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Mwanzo 23:8, 9
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 8 akawaambia: “Ikiwa mmekubali nimzike mtu wangu aliyekufa, basi nisikilizeni na mumsihi Efroni mwana wa Zohari 9 aniuzie pango lake la Makpela; liko ukingoni mwa shamba lake. Na aniuzie mbele yenu kwa kiasi kamili cha fedha+ ili niwe na mahali pa kuwazikia watu wangu.”+

  • Mwanzo 49:29, 30
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 29 Baada ya hayo aliwapa maagizo haya: “Nakaribia kufa.*+ Nizikeni pamoja na baba zangu katika pango lililo kwenye shamba la Efroni Mhiti,+ 30 pango lililo katika shamba la Makpela mbele ya Mamre katika nchi ya Kanaani, shamba ambalo Abrahamu alinunua kutoka kwa Efroni Mhiti ili liwe mahali pa kuzikia.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki