29 “Yehova Mungu wenu atakapowaleta katika nchi ambayo mtaimiliki, ni lazima mtangaze baraka kwenye Mlima Gerizimu na laana kwenye Mlima Ebali.+ 30 Je, haiko ng’ambo ya Yordani upande wa magharibi, katika nchi ya Wakanaani wanaoishi Araba, mbele ya Gilgali, kando ya ile miti mikubwa ya More?+