Mwanzo 12:7 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 7 Kisha Yehova akamtokea Abramu na kumwambia: “Nitaupa uzao wako*+ nchi hii.”+ Basi akamjengea Yehova madhabahu huko, aliyekuwa amemtokea. Matendo 7:5 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 5 Lakini hakumpa urithi wowote ndani yake, hapana, hata sehemu ya kutosha kukanyaga kwa mguu; bali aliahidi atampa aimiliki yeye na baada yake uzao wake,*+ ingawa bado hakuwa na mtoto.
7 Kisha Yehova akamtokea Abramu na kumwambia: “Nitaupa uzao wako*+ nchi hii.”+ Basi akamjengea Yehova madhabahu huko, aliyekuwa amemtokea.
5 Lakini hakumpa urithi wowote ndani yake, hapana, hata sehemu ya kutosha kukanyaga kwa mguu; bali aliahidi atampa aimiliki yeye na baada yake uzao wake,*+ ingawa bado hakuwa na mtoto.