Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Mwanzo 12:11-13
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 11 Alipokaribia kuingia Misri, akamwambia Sarai mke wake: “Tafadhali sikiliza! Ninajua kwamba wewe ni mwanamke mrembo sana.+ 12 Kwa hiyo Wamisri watakapokuona, hakika watasema, ‘Huyu ni mke wake.’ Halafu wataniua, lakini wewe watakuacha hai. 13 Tafadhali waambie wewe ni dada yangu, ili mambo yaniendee vema kwa sababu yako, nao hawataniua.”*+

  • Mwanzo 20:11, 12
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 11 Abrahamu akasema: “Ni kwa sababu nilisema moyoni mwangu, ‘Hakika watu wa mahali hapa hawamwogopi Mungu, nao wataniua kwa sababu ya mke wangu.’+ 12 Na isitoshe, kwa kweli huyu ni dada yangu, binti ya baba yangu lakini si binti ya mama yangu, naye akawa mke wangu.+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki