Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Mwanzo 27:6, 7
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 6 Basi Rebeka akamwambia Yakobo mwanawe:+ “Nimetoka kumsikia baba yako akizungumza na ndugu yako Esau na kumwambia, 7 ‘Niletee nyama ya porini, unipikie chakula kitamu. Kisha unipe nile ili nikubariki mbele za Yehova kabla sijafa.’+

  • Mwanzo 27:46
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 46 Baada ya hayo Rebeka akawa akimwambia Isaka: “Ninachukia maisha yangu kwa sababu ya mabinti wa Hethi.+ Yakobo akioa mke kutoka kwa mabinti wa Hethi, kama mabinti hawa wa nchi hii, maisha yangu yana faida gani?”+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki