Yoshua 15:10 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 10 Kisha ukazunguka kutoka Baala kuelekea upande wa magharibi hadi Mlima Seiri, ukaendelea hadi kwenye mteremko wa Mlima Yearimu upande wa kaskazini, yaani, Kesaloni, nao ukashuka hadi Beth-shemeshi+ na kuendelea hadi Timna.+ Yoshua 15:12 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 12 Mpaka wa magharibi ulikuwa Bahari Kuu*+ na pwani yake. Hiyo ndiyo iliyokuwa mipaka yote ya wazao wa Yuda kulingana na koo zao. Waamuzi 14:1 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 14 Ndipo Samsoni akaenda Timna, na akiwa huko akamwona mwanamke Mfilisti.*
10 Kisha ukazunguka kutoka Baala kuelekea upande wa magharibi hadi Mlima Seiri, ukaendelea hadi kwenye mteremko wa Mlima Yearimu upande wa kaskazini, yaani, Kesaloni, nao ukashuka hadi Beth-shemeshi+ na kuendelea hadi Timna.+
12 Mpaka wa magharibi ulikuwa Bahari Kuu*+ na pwani yake. Hiyo ndiyo iliyokuwa mipaka yote ya wazao wa Yuda kulingana na koo zao.