-
Kutoka 28:28Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
28 Pete za kifuko cha kifuani zitafungwa pamoja na pete za efodi kwa kamba ya bluu. Hivyo, kifuko cha kifuani kitabaki mahali pake kwenye efodi, juu ya mshipi uliofumwa.
-
-
Kutoka 39:21Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
21 Hatimaye, wakafunga pete za kifuko cha kifuani pamoja na pete za efodi kwa kamba ya bluu, ili kifuko cha kifuani kibaki mahali pake kwenye efodi, juu ya mshipi uliofumwa, kama Yehova alivyomwamuru Musa.
-