-
Kutoka 28:6-8Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
6 “Watatengeneza efodi kwa dhahabu, nyuzi za bluu, sufu ya rangi ya zambarau, kitambaa cha rangi nyekundu, na kitani bora kilichosokotwa, nacho kinapaswa kutariziwa.+ 7 Efodi itakuwa na vipande viwili vitakavyounganishwa kwenye miisho miwili mabegani. 8 Mshipi uliofumwa+ unaoshikilia kwa nguvu efodi unapaswa kutengenezwa kwa vitu hivyohivyo, yaani, dhahabu, nyuzi za bluu, sufu ya rangi ya zambarau, kitambaa cha rangi nyekundu, na kitani bora kilichosokotwa.
-