-
Kutoka 29:36, 37Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
36 Kila siku utamtoa ng’ombe dume wa dhabihu ya dhambi ili kufunika dhambi zao, nawe utaitakasa madhabahu kwa kutoa dhabihu ya kufunika dhambi ya madhabahu hiyo, nawe utaitia mafuta ili kuitakasa.+ 37 Utatumia siku saba kufunika dhambi ya madhabahu, nawe lazima uitakase ili iwe madhabahu takatifu kabisa.+ Mtu yeyote anayeigusa madhabahu hiyo anapaswa kuwa mtakatifu.
-
-
Mambo ya Walawi 8:11Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
11 Baada ya hayo akanyunyiza kiasi fulani cha mafuta hayo juu ya madhabahu mara saba na kuitia mafuta madhabahu, vyombo vyake vyote, na pia beseni na kinara chake, ili kuvitakasa.
-