Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Kutoka 2:16
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 16 Sasa kuhani wa Midiani+ alikuwa na mabinti saba, nao wakaja kuteka maji na kujaza vyombo vya kunyweshea kondoo wa baba yao.

  • Kutoka 2:21
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 21 Baada ya hayo Musa akakubali kuishi na mtu huyo, naye akampa Musa binti yake aliyeitwa Sipora+ ili amwoe.

  • Kutoka 3:1
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 3 Musa akawa mchungaji wa kondoo wa Yethro,+ baba mkwe wake, kuhani wa Midiani. Alipokuwa akiwaongoza kondoo kuelekea upande wa magharibi wa nyika, hatimaye alifika kwenye mlima wa Mungu wa kweli ulioitwa Horebu.+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki