Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Mambo ya Walawi 6:2-5
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 2 “Mtu akitenda dhambi na kukosa uaminifu kwa Yehova+ kwa kumdanganya jirani yake kuhusu kitu fulani alichokabidhiwa atunze,+ au alichoachiwa kama dhamana, au akimwibia au kumlaghai jirani yake, 3 au akipata kitu kilichopotea na kudanganya kwamba hajakipata, naye akiapa kwa uwongo kuhusu dhambi yoyote kama hiyo ambayo huenda akatenda,+ anapaswa kufanya hivi: 4 Ikiwa ametenda dhambi naye ana hatia, ni lazima arudishe kitu alichoiba, kitu alichochukua kwa nguvu, kitu alichochukua kwa ulaghai, kitu alichokabidhiwa atunze, au kitu kilichopotea akakipata, 5 au chochote alichoapia kwa uwongo, ni lazima alipe kitu hicho kikamili+ na kuongeza sehemu ya tano ya thamani yake. Atamrudishia mwenyewe kitu hicho siku ambayo hatia yake itajulikana.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki