Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Kutoka 38:8
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 8 Kisha akatengeneza beseni la shaba+ na kinara chake cha shaba; alitumia vioo* vya wanawake waliotumikia kwenye mlango wa hema la mkutano kulingana na mpangilio uliowekwa.

  • Mambo ya Walawi 8:11
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 11 Baada ya hayo akanyunyiza kiasi fulani cha mafuta hayo juu ya madhabahu mara saba na kuitia mafuta madhabahu, vyombo vyake vyote, na pia beseni na kinara chake, ili kuvitakasa.

  • 1 Wafalme 7:38
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 38 Alitengeneza mabeseni kumi ya shaba;+ kila beseni lingeweza kujaa kiasi cha bathi 40 za maji. Kila beseni lilikuwa na upana wa mikono 4.* Kulikuwa na beseni moja kwa ajili ya kila mojawapo ya magari hayo kumi.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki