Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Kutoka 23:19
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 19 “Unapaswa kuleta katika nyumba yangu mimi, Yehova Mungu wako, mazao bora ya kwanza yaliyokomaa* ya ardhi yako.+

      “Usimchemshe mwanambuzi katika maziwa ya mama yake.+

  • Kumbukumbu la Torati 14:21
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 21 “Msimle mnyama yeyote aliyepatikana amekufa.+ Mnaweza kumpa mkaaji mgeni aliye ndani ya majiji yenu,* naye anaweza kumla, au mnyama huyo anaweza kuuzwa kwa mgeni. Kwa maana ninyi ni watu watakatifu kwa Yehova Mungu wenu.

      “Msimchemshe mwanambuzi katika maziwa ya mama yake.+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki