Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Kutoka 22:31
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 31 “Mnapaswa kujithibitisha wenyewe kuwa watu watakatifu mbele zangu,+ nanyi hampaswi kula nyama ya mnyama yeyote ambaye ameraruliwa na mnyama wa mwituni.+ Mnapaswa kuwatupia mbwa nyama hiyo.

  • Mambo ya Walawi 17:15
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 15 Mtu yeyote, awe ni mwenyeji au mgeni, akila mnyama aliyepatikana amekufa au aliyeraruliwa na mnyama wa mwituni,+ basi ni lazima afue mavazi yake na kuoga kwenye maji,+ naye hatakuwa safi mpaka jioni.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki