Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Mambo ya Walawi 22:21
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 21 “‘Mtu akimtolea Yehova dhabihu ya ushirika+ ili kutimiza nadhiri au akiitoa ikiwa toleo la hiari, anapaswa kutoa mnyama asiye na kasoro kutoka katika mifugo yake au kundi lake, ili apate kibali. Mnyama huyo hapaswi kuwa na kasoro yoyote.

  • Hesabu 6:13, 14
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 13 “‘Hii ndiyo sheria inayomhusu Mnadhiri: Atakapomaliza siku zake za kuwa Mnadhiri,+ ataletwa kwenye mlango wa hema la mkutano. 14 Akiwa hapo atamtolea Yehova dhabihu zake: mwanakondoo dume wa mwaka mmoja asiye na kasoro kwa ajili ya dhabihu ya kuteketezwa,+ mwanakondoo jike wa mwaka mmoja asiye na kasoro kwa ajili ya dhabihu ya dhambi,+ kondoo dume mmoja asiye na kasoro kwa ajili ya dhabihu ya ushirika,+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki