-
Mambo ya Walawi 13:25Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
25 kuhani atalichunguza doa hilo. Ikiwa nywele zimebadilika na kuwa nyeupe katika doa hilo na inaonekana limepenya chini ya ngozi, ni ukoma uliotokea kwenye kovu, basi kuhani atatangaza kwamba mtu huyo si safi. Ni ugonjwa wa ukoma.
-
-
Mambo ya Walawi 13:42Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
42 Lakini mtu akipata kidonda chenye mchanganyiko wa rangi nyekundu na nyeupe kwenye upara au paji la uso, ni ukoma unaotokea kwenye upara au paji lake la uso.
-
-
Hesabu 12:12Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
12 Tafadhali, usimwache aendelee kuwa kama mtu aliyezaliwa akiwa amekufa, ambaye nusu ya mwili wake imeoza!”
-