-
Kumbukumbu la Torati 26:1, 2Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
26 “Mwishowe mtakapoingia katika nchi ambayo Yehova Mungu wenu anawapa kuwa urithi wenu, nanyi mmeimiliki na mnaishi ndani yake, 2 mtachukua baadhi ya mavuno ya kwanza ya mazao* yote ya ardhi, mtakayokusanya katika nchi yenu ambayo Yehova Mungu wenu anawapa, na kuyatia katika kikapu na kwenda mahali ambapo Yehova Mungu wenu atachagua jina lake likae hapo.+
-