Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Mwanzo 13:14, 15
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 14 Yehova akamwambia hivi Abramu baada ya Loti kujitenga naye: “Tafadhali, inua macho yako, na kutoka mahali ulipo tazama kaskazini na kusini, mashariki na magharibi, 15 kwa sababu nchi yote unayoona, nitakupa wewe na uzao wako* iwe miliki yenu ya kudumu.+

  • Kumbukumbu la Torati 3:27
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 27 Panda juu ya kilele cha Pisga,+ utazame magharibi na kaskazini na kusini na mashariki, uone nchi hiyo kwa macho yako, kwa maana hutavuka mto huu wa Yordani.+

  • Kumbukumbu la Torati 32:52
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 52 Utaiona nchi hiyo kwa mbali, lakini hutaingia katika nchi hiyo ninayowapa Waisraeli.”+

  • Kumbukumbu la Torati 34:1
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 34 Kisha Musa akatoka katika jangwa tambarare la Moabu na kupanda Mlima Nebo,+ kwenye kilele cha Pisga,+ kinachoelekeana na Yeriko.+ Yehova akamwonyesha nchi yote, kuanzia Gileadi mpaka Dani,+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki