10 Basi Musa na Haruni wakawakusanya watu wote mbele ya mwamba huo, akawaambia, “Sikilizeni sasa, enyi waasi! Je, ni lazima tuwatolee maji katika mwamba huu?”+
12 Baadaye Yehova akamwambia hivi Musa na Haruni: “Kwa sababu hamkuonyesha kwamba mna imani kwangu na kunitakasa mbele ya Waisraeli, hamtawaingiza watu hawa katika nchi ambayo nitawapa.”+