Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Mambo ya Walawi 23:27-31
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 27 “Hata hivyo, siku ya kumi ya mwezi huo wa saba ni Siku ya Kufunika Dhambi.+ Mtakuwa na kusanyiko takatifu, nanyi mnapaswa kujitesa*+ na kumtolea Yehova dhabihu inayochomwa kwa moto. 28 Hampaswi kufanya kazi yoyote siku hiyo kwa sababu ni siku ya kufunika dhambi+ zenu mbele za Yehova Mungu wenu. 29 Mtu yeyote ambaye hatajitesa* siku hiyo atauawa.+ 30 Nami nitamwangamiza mtu yeyote atakayefanya kazi yoyote siku hiyo. 31 Hampaswi kufanya kazi yoyote. Ni sheria ya kudumu katika vizazi vyenu vyote mahali popote mtakapoishi.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki